Welcome Note

I would like to take this opportunity to welcome Tanzanians and investors to this website on behalf of the Government of the United Republic of Tanzania. I believe that you will find reliable and complete information.

The goal of this website is to educate and provide information to citizens about the participation of Tanzanians in major strategic projects implemented by the Government as well as investments made in various economic sectors. In addition, this website aims to provide real information on the participation of Tanzanians, for example through employment, purchase of goods and provision of services to Tanzanian companies, training and transfer of skills and technology. The various opportunities available in these projects will be displayed on this website to ensure they reach Tanzanians.

The Government of the Sixth Phase under the leadership of the President of the United Republic of Tanzania Hon Samia Suluhu Hassan is implementing various strategic projects with the aim of accelerating the development of economic growth for the Nation of Tanzania in order to achieve the National goals of the year 2025. These projects are managed and implemented by the ministry as well as Government institutions and the private sector. The presence of these projects contributes to promoting and providing economic opportunities, including providing employment, enabling business (purchase of local products and services), facilitating the transfer of knowledge and technology to Tanzanians from foreign experts with rare skills and expertise, etc.

Hivyo ni matumaini makubwa ya Serikali kuwa watanzania watatumia fursa mbalimbali zinazopatikana katika miradi hii, aidha wawekezaji watahakikisha kuwa watanzania wanashiriki katika utekelezaji wa miradi kwa njia mbalimbali ikiwa ni pamoja na kuajiriwa, manunuzi, kujengewa ujuzi na kutoa huduma mbalimbali.

Mungu ibariki Afrika, Mungu ibariki Tanzania, Mungu ibariki kazi ya mikono yetu.

Waziri wa Nchi Ofisi ya Waziri Mkuu,

Uwekezaji

Kwa niaba ya Baraza la Taifa la Uwezeshaji Wananchi Kiuchumi (NEEC), ninayo furaha kuungana na Mh Waziri Waziri wa Nchi Ofisi ya Waziri Mkuu, Sera, Bunge, Kazi, Vijana, Ajira na Wenye Ulemavu kuwakaribisha katika tovuti hii. Tovuti hii inasimamiwa na Ofisi ya Waziri Mkuu kupitia Baraza la Taifa la Uwezeshaji Wananchi Kiuchumi (NEEC), chini ya uangalizi wa kiteknolojia wa Wakala wa Serikali Mtandao (eGA).

Tovuti hii imetayarishwa na kutengenezwa kwa kuzingatia watumiaji wetu ili iwe ni rahisi kutumia na taarifa inayohitajika ipatikane. Ni matumaini yangu kuwa, kila atakayetembelea atapata jambo la kujifunza na atarudi tena na tena ili kuendelea kudumisha mawasiliano.

Ukitembelea tovuti hii utabaini miradi mbalimbali inayofanyika katika kila kona ya nchi yetu ambayo inafanywa na wawekezaji wa nje na wa ndani. Lengo la Baraza ni kuona kuwa wananchi wengi zaidi wanashirikishwa katika miradi hii.

Ninaamini kuwa kwa kutembelea tovuti hii umenufaika, nakuhakishia kuwa tutaendelea kuboresha tovuti hii kadri muda unavyokwenda ili kukidhi matarajio yako kwa ubora wa hali ya juu.

Katibu Mtendaji

Baraza la Taifa la Uwezeshaji Wananchi Kiuchumi