Habari
HAFLA YA UTIAJI SAINI BOMBA LA MAFUTA IKULU - DSM.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan na Rais Yoweri Museveni wa Uganda wameshuhudia utiaji saini wa mkataba wa makubaliano wa ujenzi wa bomba la mafuta kutoka Hoima nchini Uganda hadi bandari ya Tanga, Tanzania. Soma zaidi
Imewekwa: May 24, 2021
MRADI WA GESI ASILIA TANZANIA & KENYA
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Samia Suluhu Hassan amesema mradi wa ujenzi wa Bomba la kusafirisha mafuta ghafi kutoka Hoima - Uganda hadi rasi ya Chongoleani Tanzania (EACOP) utachochea uwekezaji, biashara na kufungua milango ya fursa katika nchi za Uganda na Tanzania. Soma zaidi
Imewekwa: May 05, 2021
MRADI WA BOMBA LA MAFUTA TANZANIA & UGANDA
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Samia Suluhu Hassan amesema mradi wa ujenzi wa Bomba la kusafirisha mafuta ghafi kutoka Hoima - Uganda hadi rasi ya Chongoleani Tanzania (EACOP) utachochea uwekezaji, biashara na kufungua milango ya fursa katika nchi za Uganda na Tanzania. Soma zaidi
Imewekwa: May 05, 2021
Rais Magufuli amezindua "KIJAZI INTERCHANGE"
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. John Magufuli amefanya uzinduzi wa daraja la juu la Ubungo lililopewa jina la aliyekuwa Katibu Mkuu Kiongozi, Balozi Mhandisi John Kijazi aliyefariki dunia Februari 17, 2021. Soma zaidi
Imewekwa: Feb 24, 2021
STENDI KUU YA MABASI YA MBEZI LUIS KUANZA KAZI MUDA WOWOTE KUANZIA SASA
Waziri wa TAMISEMI, Selemani Jafo, amesema kuwa kutokana na stendi mpya ya mabasi ya Mbezi Luis kuwa na hadhi ya kimataifa, anapendekeza ipewe jina la Rais Dkt. Magufuli, kama sehemu ya shukrani na kuthamini jitihada alizofanya na kwamba atamuomba ili aridhie ombi hilo. Soma zaidi
Imewekwa: Jan 27, 2021
ZIARA YA NEEC MRADI WA RELI YA KISASA - STANDARD GAUGE RAILWAY.
Katibu Mtendaji ametoa wito kwa Kampuni za Kitanzania kujituma na kufanya kazi zao kwa weledi na umakini wa hali ya juu kwani hii itasaidia kuekeleza miradi hii kwa wakati na katika muda wa utekelezaji wa mradi uliopangwa. Soma zaidi
Imewekwa: Sep 10, 2020